Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Mocco Genius
Producer
Lyrics
Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa, Wallah kanipatia anastahili sifa
Chumba kizima chanukia uturi kajifisha, vidole nasimamia ukingoni nafikishwa
Ananikosha mwili kwa maji ya madafu, (Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu)
Anichua tumbo la ngiri kwa mafuta ya karafuu, (Nikichoka ananikanda kwa mabarafu)
Maajab, maajab, penzi lake la ajab, maajab, maajab, mahaba yake ya ajab
Maajab, maajab, penzi lake la ajab, maajab, maajab, mahaba yake ya ajab
Kifuani hunipaka halua, mikono tende anazichambua, anilamba
Kitandani humwaga maua, mwingeni hata chembe sikuwa najua, anitoa ushamba
Nanitake nini kwake, niombe nisipewe, iwe pemba ama chakechake, nichague mwenyewe
Kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe, mambo shega yani mwake-mwake, mangaka msewee
Libandike penzi kama gazeti walisome, tuwaadabishe sangara shombo vibwenti tuwang'onge
Nikila nilishe chapati za alizeti ninone, tuwafungishe midomo uzi cement tuwashone
Ananikosha mwili kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri kwa mafuta ya karaafuu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
Maajab, maajab, penzi lake la ajab, maajab, maajab, mahaba yake ya ajab
Maajab, maajab, penzi lake la ajab, maajab, maajab, mahaba yake ya ajab
(Halua-halua), hunipa vitamu laini-laini
(Halua-halua), kinyama cha hamu uhondo utosini
(Halua-halua), sili kwa kijiko nalishwa kwa ulimi
(Halua-halua), napewa hadi vya miiko sa' nitake nini
Written by: Mbosso