Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Vocals
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Marhaba, marhaba Habibi
Tunda Komamanga la kupachua
Ooh
Mahaba, mahaba yanzidi
Kindimu changa chakuchachua
Mmnh
[Verse 2]
Tamu zaituni tunda la Peponi nalila (Nalila)
Gamu ya sakafuni tunadundishana kipira (Kipira)
Napewa penzi sabuni linalontakasa madhira
Huniita hunnie haiyuni mkali wa tatu bila (Bila)
[Verse 3]
Upepo wa Pwani umenipeleka bara
Niongoze usukani kwenye penzi barabara
Wakati wako tamba
[Chorus]
Ashua (Eenh) Ashua shuu, Ashua
(Ok baby jishongondoe) Ashua (Eenh) Ashua shuu (Eenh) Ashua
(Na roho zao ziwaume) Ashua, Ashua shuu, Ashuaa
(Lolololooh) Ashua (Eenh) Ashua shuu (Eenh) Ashua
Tuwachome mapakashume
[Bridge]
Ooh ooh
Ooh ooh
Ooh
[Verse 4]
Kweli mambo mazuri hayataki haraka ooh
Haraka oohooh mmnnh
Kwa dua nimesubiri nimepewa nilichotaka ooh
Nilichotaka oohooh mmnh
[Verse 5]
Penzi ninalinogesha (Noga)
Nampa mchicha ale (Noga)
Vinono vya kunenepesha (Noga)
Sambusa ya nyama tele (Noga)
Kisha namchangamsha (Noga)
Namchezea segere (Noga)
Mwali kujinengemusha (Noga)
Huku napiga kelele aanh aanh anh
[PreChorus]
Upepo wa Pwani umenipeleka bara
Lewe wangu usukani kwenye penzi barabara
Wakati wako tamba
[Chorus]
Ashua (Eenh) Ashua shuu, Ashua
(Ok baby jishongondoe) Ashua (Eenh) Ashua shuu (Eenh) Ashua
(Na roho zao ziwaume) Ashua, Ashua shuu, Ashuaa
(Lolololooh) Ashua (Eenh) Ashua shuu
[Outro]
Wakikuuliza mbona huonekani
Tunacheza solo na zumari ndani
Eenh kuingiza kete shimoni
Tunacheza Solo na zumari ndani
Nakopakopa kwa malovie dovie
Tunacheza solo na zumari ndani
Michezo ya karata kulambishwa mavi
Tunacheza solo na zumari ndani
Written by: Zuchu