Top Songs By Zuchu
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Lyrics
(Ayo Lizer)
Kukuhini kusokwisha umeangukia pemani
Roho yanidadarika kashanitoka sheitwani
Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi
Moyo umekunja ndita kukumisii jamani
Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe
Nikajiveka mashati, nikajiona mi ndo mie
Kweli mbaya halisi nawema hakosi ye
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Hey, chozi dibwi-dibwi nachanganikiwa navilio sishikiki
Niko magharibi lizamapo jua, wewe upo mashariki
Zawadi vipochi, vijuisi, vipipi nazimisii chocolate
Nimekoma dear, nilivyo nyongea huba zako sizipati
Tabibu! Kunikomesha umepata toto la kitanga
Sababu! Umeichoka jeuri yangu ya kipemba
Lile gubu! Limeniisha kabisa baby, halinanga aibu
Wananicheka wajinga, rudi nakuomba
Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe
Nikajiveka mashati, nikajiona mi ndo mie
Kweli mbaya halisi na wema hakosi ye
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Ye, nikikaa nawaza nimuingie kwa style gani?
Nimlilie niseme ninamimba kasahau t-shirt nyumbani
Nashindwa kujizuia, uvumilivu unanishinda kwanini
Nikimpigia kusudi zake, na akipokea eti, "Hello wewe nani?
Na namba kakupa nani?"
Mara ah, "Kumbe wewe unafanya issue gani (siku hizi?)"
Nimsanii anajua inamana hanioni (kwenye Tv)
Aah, ay wewe
Aah, ay wewe
(Wasafi)
Writer(s): Siraju Amani, Zuhura Soud
Lyrics powered by www.musixmatch.com