Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Lyrics
Hewallah Mungu kanipa nilichomuomba, mashallah rahaa
Na wala sishriki huba tulimenisomba nala nalala jamani rahaa
Ntakulinda kwa kunuti, nitapigana jihadi
Pendo liwe madhubuti, wasiingie waganga
Wapambe vigurushuti, wape chai kwenye jagi
Yetu tamu biscuit, wasitie mchanga
Penzi letu basikeli kaa bomba la mbele pia, ulipige mabusu
Liwachome kwelikweli wenye viherehere pia, wakome yasowahusu
Baby zima feni (Nipepee), nimeleta kipepeo unipepee
Leo zima feni (Nipepee), nimeleta kipepeo unipepee
Zima kiyoyozi (Nipepee), nimeleta kipepeo unipepee
Zima feni (Nipepee), nimeleta kipepeo unipepee
Tuoge ya vuguvugu maji ya baridi siyawezi, si unanijua nnaugonjwa wakutetemeka
Nisugue sugusugu, ongeza zaidi kunienzi
Kuneng'emua kwa ngonja pita njopeka
Fanya nizidi nkupende, niwe wapeke yako daima, iwe bigwa mwalusembe shamba langu lako nalima
Huba tufunge ngengenge tuwape na viapo karma ili wakupiga denge tamu pendo wasitie sumu
Penzi letu basikeli kaa bomba la mbele pia, unipige mabusu
Liwachome kwelikweli wenye viherehere pia, wakome yasowahusu
Baby zima feni (Nipepee), nimeleta kipepeo unipepee
Leo zima feni (Nipepee), nimeleta kipepeo unipepee
Zima niyoyozi (Nipepee), nimeleta kipepeo unipepee
Zima feni (Nipepee), nimeleta kipepeo unipepee
Ntakulinda kwa kunuti, nitapigana jihadi
Pendo liwe madhubuti, wasiingie waganga
Written by: Mbosso