Lyrics
[Verse 1]
Jirani yangu, jirani yangu tumezoeana
Mlango wake, mlango wangu vinatazamana
Sukari kwake, chumvi kwangu tukaazimana
Akawa dhaifu wangu, dugu wangu tukashibana
Mwisho tukapendana oh Meri-Merijah
[PreChorus]
Kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
Na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
Oh Mer-Meri oh Meri-Merijah
[Chorus]
Kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
Na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
Oh Mer-Meri oh Meri-Merijah
[Verse 2]
Mwamba ni mwamba ni ayee
Mwamba ni msuli nakaanga
Wadhania-wandhaniayee
Waambie ndo tunayaanza
Ooh oh Meri-Merijah
[PreChorus]
Kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
Na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
Oh Mer-Meri oh Meri-Merijah
[Chorus]
Kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
Na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
Oh Mer-Meri oh Meri-Merijah
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi