Music Video

Lava Lava - Tuachane ( Official Music Video )
Watch Lava Lava - Tuachane ( Official Music Video ) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Kama imeshindikana kunirudia isiwe taabu, usiuforce moyo kupenda usipostahili
Ya nini kung'ang'ania nishachoka kuwekwa sub, siwezi ooh na mapenzi nishaghairi
Tena niko tayari vipigwe vinubi kengere kwa sherehe, kinagaubaga mbele ya umati tuachane
Na kama hautojali tuite waumini mapadre na masheikh, yaishe labda sa kwa nini tutesane
Kweli we ndo nikupendae ila unanipa ghadhabu jina, tusitoane nyongo
Na kama umenichoka eh niache kistarabu jina, usinipe chongo miee
Mwili umebaki (Kongoro), nyama sina ni mifupa, naiona (Domboro) kabisa siwezi furukuta
Penzi kiporo limeshachina linanuka, kuishi kokoro purukushani kutwa kucha iyeeh
(Bora tuachane) bora tuachane siwezi (Bora tuachane)
Yamenishinda mapenzi (Mi naona bora tuachane eeh)
Tuachane siwezi (Bora tuachane), yamenishinda mapenzi
Ni dhahiri kisima kimekauka maji, ndo maana naona ata sina maana tena
Nilifikiri mi gonjwa langu limepata mponyaji, umeniongezea homa mwili wote watetema
Mi naona basi labda si ridhiki yangu, kama hunitaki acha tu niende zangu
Ya nini mishikaki ntatafuta boda yangu nijinafasi niipande peke yangu
Mwili umebaki (Kongoro) nyama sina ni mifupa, naiona (Domboro) kabisa siwezi furukuta
Penzi (Kiporo) limeshachina linanuka, kuishi kokoro purukushani kutwa kucha iyeeh
(Bora tuachane) bora tuachane siwezi (Bora tuachane)
Yamenishinda mapenzi (Mi naona bora tuachane eeh) Tuachane siwezi
Bora tuachane yamenishinda mapenzi
(Liwalo na liwe) Na namba zako ntafuta ama unasemaje (Liwalo na liwe)
Nguo zako mashuka wacha nkazimwage (Liwalo na liwe)
Sio kama nmesusa ila ntafanyaje (Liwalo na liwe)
We kaa mi nanyanyuka, acha tu niagee
Written by: Lava Lava
instagramSharePathic_arrow_out