Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Composer
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
BlackVip Records
Producer
Lyrics
Kamusi namaliza kurasa kukusifia
Matusi naiona basata wakinifungia
Theluthi hizi raha ninazopata mia fil mia aah
Mjusi ukuta wa plasta nauparamia
Na kama penzi ni chupa la bia
Nipe sana niwe mlevi ni yumbe‑yumbe njia
Kwa maana we mlezi na unanijulia
Hawana hawawezi pakukuibia dear
Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
Nilifeli secondary kwendaga chuo
Ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo
Yeremia mstari ni funue ufunuo oooh
Nikupambe kwa matari mwilini iwe nguo
Na kama penzi ni chupa la bia
Nipe sana niwe mlevi ni yumbe‑yumbe njia
Kwa maana we mlezi na unanijulia
Hawana hawawezi pakukuibia dear
Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
Pawa pawa
Naishiwa pawa
Penzi lako mizani mizito naishiwa pawa
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi