Featured In
Top Songs By Diamond Platnumz
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Miri Ben-Ari
Vocals
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Diamond Platnumz
Producer
Lizer Classic
Producer
Siraju Khamis Amani
Producer
Lyrics
Kama unanipenda sana, umaarufu weka mbali, na ile nyumba ni ya mama hivyo usiwaze Madale
Isiwe kesho madrama, napigiwa simu na Tale, hadi Insta natukanwa umeshaanzisha kwale
Moyo wangu mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu hodari kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu ndio maana nasisitiza usije na wewe
Baila, Baila, Baila, Baila Baila, Baila
Baila, Baila, Baila, Baila mama
Baila, Baila, Baila, Baila Baila, Baila
Baila, Baila, Baila, Baila mama
Muziki vita, hawataki niendelee, hivyo ukipata nafasi tafadhali niombee
Na nyumbani visa, ndugu zangu wazoee, itaniumiza nafsi ikifikia musiongee
Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao tahadhari sana, si unajua wanamuziki vitabia vyao wamejawa tamaa
Oh na! na dada zangu mawifi chunga nyendo zao, usipelekwe mlama
Wakikwambia kaniki mara chota nyayo, jua mumewe nakwama
Utamu wa big g ni kutafuna usimeze uroda, ongeza tu bidii kunikuna sio kuniroga
Kunikomba zaidi pika nguna nitaileta mboga, unipe na kabibi kwetu suna nishushie na soda
Moyo wangu mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu hodari kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu ndio maana nasisitiza usije na wewe
Baila, Baila, Baila, Baila Baila, Baila
Baila, Baila, Baila, Baila mama
Baila, Baila, Baila, Baila Baila Baila
Baila, Baila, Baila, Baila mama
Usiseme you love me then you lying, usiseme you love me then you lying
Usiseme you love me then you lying, usiseme you love me then you lying
Baila, Baila, Baila, Baila Baila, Baila
Baila, Baila, Baila, Baila mama
Baila, Baila, Baila (Oh Baila), Baila, Baila, Baila (Baila kipenzi), Baila, Baila, Baila, Baila mama
Written by: Diamond Platnumz