Lyrics

Nataka longa na wewe nikufunze mapenzi, mwenzako nayajua
Nataka sema nawe nikufunze penzi mimi ninalijua
Nipe nikubembeleze kama mtoto ng'ara kwa raha zako ujinenepee, nikushike pendo lisiteleze likagaragara
Wabaya macho wasisogelee twende Zanzibar (Comorro, Mombasa)
Tucheze Zumari (Ndombolo chakacha), nikupe michezo hatari, uzidi takata, tuwe ng'aring'ari Dangote Tanasha
Kama kikogwa nitala na chumvi
(Aye, ate-ate, atee), vimboga-mboga sangara uduvi (Ate, ate-ate, atee)
Eeh, iyanaa iyaa (Ate, ate-ate, atee), eeh iyaana iyaa (Ate, ate-ate, atee)
Mimi daktari, daktari wa mapenzi
Dozi yangu temethali inatibu na kuenzi
Yangu tamu-tamu bila kuchanjia, chachu kwa kudambulia, swafi kwa kuitumia ni salama
Kama buble gum utatafunia, ndafu kwa kusukumia, mhh chakurumagia, kinyama
Penzi liogelee hii bahari salama (Selelea se), tuelee mioyo isiende mrama (Selelea se)
Tule tujisosomoe nyama-nyama za Shawarma (Selelea se)
Habibi seleleaa
Twende Zanzibar (Comorro, Mombasa)
Tucheze Zumari (Ndombolo chakacha), nikupe michezo hatari, uzidi takata, tuwe ng'aring'ari Dangote Tanasha
Kama kikogwa nitala na chumvi
(Ate, ate-ate, atee), vimboga-mboga sangara uduvi (Ate, ate-ate, atee)
Eeh iyanaa iyaa (Ate, ate-ate, atee), iyaana iyaa (Ate, ate-ate, atee)
Jamaa mwali kang'ang'ania (Anaitaka), mhh analilia (Anaitaka)
Ooh kashikilia (Anaitaka), nimpe yote-yote
Yani nzima-nzima (Anaitaka), ooh kulamba-lamba (Anaitaka), chocolate ya maziwa (Anaitaka), yote yote
Written by: Mbosso
instagramSharePathic_arrow_out