Similar Songs
Lyrics
[Intro]
Me and you till I die (Babe Chimamy)
White Mmasai (Mzuri hadi ndani)
I know you like Mumbai (Upo kama nyumbani)
I can buy you Hyundai (Haifiki Mwakani)
[Verse 1]
Tena hujui poda wala haupaki mascara
Shape nyuma kigoda, sauti kama ya Stara
Una lips nyembamba, toto la mujer de mi vida
Kiuno cha kuvaa khanga, macho kama umenyonya weeda
[Chorus]
Oh, oh baby (Aah)
Girl i want to see (Aah)
Ah baby, ooh (Aah)
Girl I want to see (Aah)
[Chorus]
(Oh baby) Asa Kokoroko (Ooh) Kokoroko
(Asa Kokoro baby) Asa Kokoroko (Eeh) Kokoroko
(Anifinyie kwa ndani) Asa Kokoroko (Ooh) Kokoroko
(Asa Kokoro baby) Asa Kokoroko (Eehh) Kokoroko
Napendagaa
[Verse 2]
Aah Diana (Sister Diana)
Mhhh Halima (Sis Halima)
[Verse 3]
Una pigo za ki Lady Gaga
Nyuma laini kama Burger
Zigo la kuvunja chaga
Kifaranga kimetaga
[Verse 4]
Kwanza mwasi matata unavyosakata
Kiuno talanta mavi karata
Jini Makata avonikamata
Kichwa na ngata soka samatta
Hee-hee eeh
[Verse 5]
Mashallah mie kwake tafarani (Heee eeeh)
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
[PreChorus]
(Aah) Yayayaa
Girl i want to see (Aah)
Ah baby, ooh (Aah)
Girl I want to see (Aah)
[Chorus]
(Oh baby) Asa Kokoroko (Ooh) Kokoroko
(Asa Kokoro baby) Asa Kokoroko (Eeh) Kokoroko
(Anifinyie kwa ndani) Asa Kokoroko (Ooh) Kokoroko
(Asa Kokoro baby) Asa Kokoroko (Eehh) Kokoroko
Napendagaa
[Verse 6]
Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
[PreChorus]
Ruubudaa (Hee-hee eeh)
Mashallah mie kwake tafarani (Heee eeeh)
Anavyonisasambua kama nguo mnadani yayaaiya
[Outro]
Yebaa!
Anadodoaaa (Dodoa) yeeih!
Anadodoaaa (Aaahh) dodoa aariririririii
Anadodoa
Mashetani yamepandaa (Dodoa)
Kiti kavunja manyanga (Anadodoa)
Mgonjwa anatibu mganga (Dodoa)
Anandondoka (Anadodoa)
Mwenye nyumba kapanga (Dodoa)
Boringo limekuwa vanga (Anadodoa)
Maiti kavuliwa sanda (Dodoa) ooh, ooh, ooh
Written by: Rich Mavoko