Music Video

Mbosso - Hodari ( Official Video Music )
Watch Mbosso - Hodari ( Official Video Music ) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
RashDon
RashDon
Producer

Lyrics

[Intro]
Lalalala lalala la la la
Lalalala la la la
Lalalala la
Shombe, shombe, mtoto laini, laini
Anawaka-waka aah, aah
Wanga wape vidonge
Nimebaini-baini
Wana tapatapa aah, aah
[Verse 1]
Mi nawe mpaka kiama, tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama, na wasimame wima
Kamwe hawatopata mwanya, habithi fitina
Wapike mabiringanya, si tutoke dinner
[PreChorus]
Nalegeaa
Ukintazama yako macho, yako macho
Nalegeaa
Ikigusana yangu na yako, yangu na yako
[Chorus]
(Katoto hodari) Hodari wa mapenzi
(Jamani hodari) Hodari wa mapenzi
(Kwa michezo ya chumbani, hodari) Hodari wa mapenzi
(Mtundu kitandani, hodari) Hodari wa mapenzi
[Verse 2]
Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi
Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi
Nisakata makirikiri, kuniwasha ka pilipili
Fundi haswa amekithiri, kunipa nilewe
[Verse 3]
Kwasa-kwasa ndani bingiri
Za kukata saga kachiri
Nani haswa unafikiri
Kama sio wewe
[Verse 4]
Nichezeshe kidaruso usiku wa manane (Vanga)
Nikande kipanda uso tufunikane (Kanga)
Nipitishe boda la uko tukakutane (Tanga)
Sie pini wao puto wasijichanganye watapasuka
[PreChorus]
Nalegeaa
Ukintazama yako macho, yako macho
Nalegea
Ikigusana yangu na yako, yangu na yako
[Chorus]
(Katoto hodari) Hodari wa mapenzi
(Jamani hodari) Hodari wa mapenzi
(Kiuno kunengua, hodari) Hodari wa mapenzi
(Bids kujibidua, hodari) Hodari wa mapenzi
[Outro]
(Wema Sepetu hodari) Hodari wa mapenzi
(Uwoya hodari) Hodari wa mapenzi
(Mama Cookie hodari) Hodari wa mapenzi
(Mama Dangote, hodari) Hodari wa mapenzi
(Jack Wolper, hodari) Hodari wa mapenzi
(Zari Mama Tiffah, hodari) Hodari wa mapenzi
(Ooh Esma Khan, hodari) Hodari wa mapenzi
(Elizabeth Michael, hodari) Hodari wa mapenzi
Written by: Mbosso
instagramSharePathic_arrow_out