Top Songs By Zuchu
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
Zuhura Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Hunywi maji yakapita
Me nkiguna ushafika
[Verse 2]
Jina gani hujaniita baby
Ushauri hutaki kabisa
Eti uniache nna visa
[Verse 3]
Vya vifarauni na Musa vingi
Nikilala naota kama unaniita
Nafumba macho navuta shuka
Naona napumbazika
Unishikapo ndipo hapo nafarijika
Mambo yako, mahaba yako
Ndo maana natononoka wee
[Chorus]
Wana, wana, wana, wana
Pale tulipokutana
Mikono tukapeana
Macho yakatizamana
Wana, wana, wana, wana
Pale tulipokutana
Namba kubadilishana
Nafsi kukubaliana aah!
[Verse 4]
Nzi kidonda nimefia wahenga walisema
Maradhi yaweza yasiwe na dawa kwa penzi yakapona
Rabii amenipa nusura jeuri sina tena
We ndo ganzi umenimaliza, hasira siumwi wakisema
Nidekeze niliwaze,, washushuke wanyamaze
Nikuna nibembeleze, usinipepee nipulize
Watuone washituke, roho zao ziwaume
Mi nipike ule chote, unenepe upendeze
[Chorus]
Wana, wana, wana, wana
Pale tulipokutana
Mikono tukapeana
Macho yakatizamana
Wana, wana, wana, wana
Pale tulipokutana
Namba kubadilishana
Nafsi kukubaliana aah!
[Verse 5]
Ukitaka uniweze nibebe wewe
Ukipenda unibimbe unikumbatie
Hata watu watuone wakahadithie
Nitambulishe niringe niwavimbie
Ukitaka uniweze nibebe wewe
Ukipenda unibimbe unikumbatie
Hata Lizer atuone akahadithie
Nitambulishe nitambe niwavimbie
Written by: Siraju Amani, Zuchu, Zuhura Soud