Music Video

D Voice feat Mbosso - Tunapendana (Official Visualizer)
Watch D Voice feat Mbosso - Tunapendana (Official Visualizer) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
D Voice
D Voice
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdul Hamisi Mtambo
Abdul Hamisi Mtambo
Songwriter
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafeeling
Mafeeling
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Eti baby kweli, usiponiona pumzi Inabananana
Eti baby kweli, unaumisi utamu bananana
Eti baby kweli, sa ka ndo hivyo kwanini twagombanana
Au ndio ukweli, tamu na chungu ndo raha ya kupendanana
[Refrain]
Hawajuii ooh, baby raha unazonipa
Wapi unanishika
Na ndio maana mwengine sitaki
Hawajuii na nnavyopenda sifa aah
Basi hapa bichwa
Mana najuwa unanipenda na hauniachi
[Verse 2]
Ninachotaka niwaambie
Ka unanipenda darli
Hautaki kuwa nami mbali
Bila mimi hauwezi
Basi niambie niwaambie wajue
Ka unanipenda darl
Usiku bila mi haulali
Miye ndo wako mpenzi
Basi niambie ni waambie wajue
[Chorus]
Tunapendana, tunapendana
Tunapendana, tunapendana
Tunapendana, tunapendana
Tunapendana, tunapendana
[Verse 3]
Penzi ni hadithi za sikununu
Iwe kwenye furaha nyakati ngumu
Penzi ni maradhi nishikwe pumu
Nimkupenda we ashki majununu
[Verse 4]
Usinifiche hadharani baby nichumu
Mengine tuyafanye tukiwa room
Haki ya Mungu wallahi ukinidhulumu
Bombocraat nanyonga ndumu (Oooh wewe!)
[Verse 5]
Sitaki nikukwaze usinikwaze
Tukawapa maneno watutangaze
Wengine wanangoja si kugombana (Ooh wewe!)
[Verse 6]
Penzi kwenye kibaba lijaze jaze
Mambo yakinikaba uniliwaze
Leo tule mrenda kesho nyama
Basi niambie ni waambie
[PreChorus]
Ka unanipenda darli
Usiku bila mi haulali
Bila mimi hauwezi
Basi niambie niwaambie wajuwe
Ka unanipenda darli
Usiku bila mi haulali
Miye ndo wako mpenzi
Basi niambie niwaambie wajue
[Chorus]
Tunapendana, tumependana
Tunapendana, tunapendana
Tunapendana, tumependana
Tunapendana, tumependana
Written by: Abdul Hamisi Mtambo, Mbwana Yusuph Kilungi
instagramSharePathic_arrow_out