Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Star J
Producer
Lyrics
Nyama zetu za ulimi zikikutana asali
Bonyea chini, chagama kama tayari
Leo tule nini, mihogo ya coco kwa kachumbari
Si unanjuaga mimi kitandani huwa hodari
Kama umeniroga
Aah eeh
Mganga wako fundi mama ameniweza
Nilichomeza me sijatema
Chumvi kwa kikogwa wali maini ndizi nyama umenilegeza
Ukinigusa tuu natetema
Nikishuka kifuani baby naomba nipate supu ya nyama laini kama mapupu
Yale ya gizani baby nje tusiyaruhusu
Kwa majirani wambea wakina lufufu
Hhhmm uuh aah ah
Haa lele-lele
Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe
Haa lele-lelele
Hhhmm uuh aah ah
Haa lele-lele
Moyo wangu udongo umong'ong'onyoe
Haa lele-lelele
Asubuhi niamshe kabla ya kwenda kazini jogging
Kijasho kitoke ukihisi nachoka piga firimbi
Ooh unikamate kama nayumba shika ngingingi
Wachefukwe mate maembe mabichi uwape mbilimbi
Utamu wangu mimi waujua wewe
Penzi tubane na pini iwe siri yetu wenyewe
Muhindi wa kusini mwenye mapenzi tele
Kibiti hakuna madini tukawinde tetele
Nikishuka kifuani baby naomba nipate supu ya nyama laini kama mapupu
Yale ya gizani baby nje tusiyaruhusu
Kwa majirani wambea wakina lufufu
Hhhmm uuh aah ah
Haa lele-lelelele
Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe
Haa lele-lelelele
Hhhmm uuh aah ah
Haa lele-lelelele
Moyo wangu udongo umong'ong'onyoe
Haa lele-lelelele
Kesho twende Mbagala kwa mama eh
Aah eeh, aah eh
Sio mbali twende hata baade
Aah eeh eeh
Baby tafadhali fanya ujiandae
Aah eeh, aah eh
Kumbuka baibui kimini usivae
Aah eeh, aah eh
Upajue nyumbani baby
Aah eeh, aah eh
Na wakujue nyumbani baby
Aah eeh, aah eh
Aah eeh, aah eh
Aah eeh, aah eh
Written by: Mbosso