Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nilipanga nitapenda nikifika miaka 20
Hivi sasa 18 sijui nimepatwa nini
Kuna mtu nampenda lakini sijiamini
Sio kama najua sana kwamba mapenzi ni nini
[Verse 2]
Ananitoa kwenye malengo
Sikupanga kuingia kwenye maupendo
Ananitoa kwenye malengo
Vitu vyake navutiwa kila engo
Oh mimi
[Chorus]
Tafadhali moyo wangu
Haya mapenzi dhahabu
Tafadhali kweli moyo wangu
Haya mapenzi yangu dhahabu
[Verse 3]
Bado najiuliza kama ana hisi nnavyo hisi
Ila najua kua hivyo sio rahisi
Na mi mgeni wa mapenzi nisije nikaitiwa police
Nikaumbuka nikachukia mapenzi
[Refrain]
Penzi ooh, penzi ooh
Usiniumbue mwenzio
Nikaanza na kilio
Eti ndo kiinglio
[Verse 4]
Ananitoa kwenye malengo
Sikupanga kuingia kwenye maupendo
Ananitoa kwenye malengo
Vitu vyake navutiwa kila engo
Oh mimi
[Chorus]
Tafadhali (We tafa) moyo wangu (We moyo)
Haya mapenzi dhahabu (Tafa we)
Tafadhali kweli moyo wangu (Oh moyo)
Haya mapenzi yangu dhahabu
[Outro]
Ololoo mmh dhahabu
Oonhoo mmh dhahabu
Once again
Written by: Sharif Saidi Juma