Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Performer
Sharif Saidi Juma
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
GENIUSJINI X66
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Mi nshakuambia, mimi nshakuambia
Siwezi mambo kukurupia
Maplan za watoto na ndoa here-here
Kama hujalewa nikuongezee beer
[Verse 2]
Kwenye haya mambo wawezakuwa unaumia
Vilio hao-hao hujasikia, tumeonana siku moja unaleta hisia
Hayo mambo siyapendi
[Verse 3]
Je utafahamu vipi ka napenda Vanila, utafahamu vipi ka napenda mpira
Na je utafamu vipi ka napenda kuzira, ama kulewa titalila
Je utafahamu vipi ka napenda Vanila, utafahamu vipi ka napenda mpira
Na je utafamu vipi ka napenda kuzira, ama kulewa titalila
[Chorus]
Jamani tilalila (Tilalila) tilalila (Tilalila)
Tilalila (Tilalila) au kulewa titalila
Jamani tilalila (Tilalila) tilalila (Tilalila)
Tilalila (Tilalila) au kulewa titalila
[Verse 4]
Kama unaniachja, niache nifanye mambo mengine (Niache)
Nipe nafasi nipende viumbe wengine
Oh naiona potential, oh unaidai mpaka mwisho
Unaing'ang'ania line leo-leo hungoji kesho
Nikisema ntakuoa kwa sasa nakudanganya
Tunza moyo wako atatokea tu kijana
Unaniita tu mpenzi na mapenzi yenyewe hakuna
[Verse 5]
Jichunge we mtoto, safika tu hizo zama
Vilio ni vingi na huja sababu ya haraka
Pupa zinaponza watu, sio kuku sio paka
Ntafika mtaani ona, mapema
Sina kona kona, nikitaka ntaisema
[Verse 6]
Unawai wapi, acha kuikimbiza shai (See me dat) na uambiwe mara ngapi hii habari
Kabla sijaondoka ni kukutakia kila la heri
Sichezi ngumu kuipata nisipatikane
[PreChorus]
Je utafahamu vipi ka napenda Vanila, utafahamu vipi ka napenda mpira
Na je utafamu vipi ka napenda kuzira, ama kulewa titalila
Je utafahamu vipi ka napenda Vanila, utafahamu vipi ka napenda mpira
Na je utafamu vipi ka napenda kuzira, ama kulewa titalila
[Chorus]
Jamani tilalila (Tilalila) tilalila (Tilalila)
Tilalila (Tilalila) au kulewa titalila
Jamani tilalila (Tilalila) tilalila (Tilalila)
Tilalila (Tilalila) au kulewa titalila
Written by: Sharif Saidi Juma