Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Yammi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fanuel Phabian Peter
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafeeling
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Mi nimfugaji wa kuku wa mapenzi baby naomba kukugea
Naomba pokea, naomba pokea
Honey ni kuku gani unataka nikupe kukupenda amaa
Kukujali kuku heshimu kukuzalia
[Verse 2]
Njoo nikuonyeshe kukukea, kukulea, kukuelewa
Kama mtoto kukuelewa kwa mengi hata usio yanena
[PreChorus]
Maana aah, kimwili naishi
Ila we ndo roho yangu
Ukiondoka upande wangu, nimeishaa
Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
Usipo pokea simu yangu nafoka aah
[Chorus]
Kama, kama simenti
Ntagandana na wewe ntagandana na wewe
Ni kama kama siafu
Ntafatana na wewe safari ya milele
Nakupenda wee
[Verse 3]
Ukiniita sitatembea kuja nitakimbiaa
Ukinilaza kwa kifua chako ntasinzia
Najua hupendi kukupoa, mi pia sitaki kukuboa
Na siwezi kukuondoa moyoni, ntajitia doa
[Verse 4]
Maana aah, kimwili naishi
Ila we ndo roho yangu
Ukiondoka upande wangu nimeishaa
Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu
Usipo pokea simu yangu nafoka aah
[Chorus]
Kama, kama simenti
Ntagandana na wewe ntagandana na wewe
Ni kama kama siafu
Ntafatana na wewe safari ya milele
Nakupenda wee
[Outro]
Mafeelling records
Ni kama, kama siafu
Ntafata na wewe safari ya milele
Nakupenda wee
Written by: Fanuel Phabian Peter