Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Khery Sameer
Khery Sameer
Songwriter
Nasibu Abdul Juma
Nasibu Abdul Juma
Songwriter
Salmin Kasimu Maengo
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Sharif Said Juma
Sharif Said Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Penzi zito kilo mia hamsini
Vile napata raha utaniambia nini
Kuna muda kama siamini
Na kuna muda ni ka napendwa na jini
[Verse 2]
Maana penzi lako ndege mtini
Niko matawi ya juu nisha tulia mimi
For your love let me sing-sing
Nishakolea hatari mapenzini
[Verse 3]
Tamu pipi ya kijiti (Ah-han)
Ukilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya mkeka
[Verse 4]
Penzi halishikiki (An-han)
Linavyotetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi nnavyocheza
[Chorus]
Mi na mapoz na mimi
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
[Verse 5]
Na sio ndumba waala raha tuu zimenizidi
Sio mambo ya mitala, penzi mwenye nafaidi
Oh, nalishwa nalala, nakumbatwa kwa baridi
Usinione nang'ara natunzwa Alhabibi, oh-ooh)
[Refrain]
Matikiti kudondoka, matikiti kudondokea
Marafiki huwa ni nyoka, hivyo chunga wanayo ongea
Nikandekande nikichoka, sio narudi unanifokea
Wenda mwenzio nilipotoka, mambo fyongo hayaja ninyokea
[Refrain]
Tamu pipi ya kijiti (Ah-han)
Ukilamba unacheka
Na kibaridi hiki
Niozesheni hata ndoa ya Mkeka
Penzi halishikiki (Ah-han)
Linavyotetemesha jamani
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi navyocheza
[Chorus]
Mi na mapoz na mimi
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz namimi
[Chorus]
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz nami
Mapoz nami, mi na mapoz namimi
[Verse 6]
Ngoja, huu ni usiku au mchana?
Hold up, hii ni leo au ni jana?
Mapoz nami, ah, unanikumbusha ujana
Roho unavyoirusha ntakuja kufa msichana
[Verse 7]
Nimepagawa uwanjani na sijui ngapi-ngapi
Refa ni nani mbona mpira hauji kati
Nichague kijani, yellow au papi
Au nije muda gani ili niende na wakati
[Refrain]
Unawakanya mabishoo
Kitandani unanipa show mpaka nasahau show (Ah-wee)
Unanchanganya kwenye roho, usije kun'danganya, no
Weka penzi niweke Doo (Ah-wee)
[Chorus]
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz nami
Mapoz nami we na mapoz na mimi
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz na mimi
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz nami
Mapoz nami mi na mapoz na mimi
Written by: Khery Sameer, Nasibu Abdul Juma, Salmin Kasimu Maengo, Sharif Said Juma
instagramSharePathic_arrow_out