Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
GENIUSJINI X66
Producer
Lyrics
Once again
Ona nanah
Ona nananah
Ninavyoonekana kama nina ulafi, onhoo
Ninavyoonekana kama Nakuja kasi, anhaa
Najua uba unahitaji kidogo nafasi, enhee
Na mie ndio hivyo nishakolea nazi, anhaa
Huwa naota uniita, sauti yako inavuma toka mbali
Mizigo yako nitajitwika
Niko tayari mie kuanza safari
Kuna wakati ni usiku saa tisa
Unaongea na mimi haulali
Hivyo vitu vyanimaliza
Na kukuacha kwa kweli sitakubali
Yani sitosheki mimi
Unazidi kunichanganya au nilambe na ulimi
Nipete huko chini kwa chini
Naibuka nikizama kama samaki baharini
Ohh
Mapenzi yako mvua, nishalowa
Mapenzi yako jua, lanichoma
Mapenzi yako mvua, nishalowa
Mapenzi yako jua, lanichoma
Taratibu nishapenda
Wangu moyo ushalenga
Vya ndani utamu, nishalamba
Oh dear, oh mama
Umenipa mapenzi, naona utajiri
Siwezi kuificha siri
Penzi maradhi nishapata
Unavyonijali dakitari
Mbona raha aah
Ndo ujue kama hakuna
Mimi bila wewe
Sitamani nikuache usiniache
Yani sitosheki mimi
Unazidi kunichanganya au nilambe na ulimi
Nipete huko chini kwa chini
Naibuka nikizama kama samaki baharini
Ohh
Mapenzi yako mvua, nishalowa
Mapenzi yako jua, lanichoma
Mapenzi yako mvua, nishalowa
Mapenzi yako jua, lanichoma
Written by: Sharif Saidi Juma