Top Songs By Marioo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Songwriter
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Sweetbert Charles Mwinula
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Moyo kwako umekaa-kaa-kaa oweoh
Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
Waniwezaga-ga oweoh
[Verse 2]
Usifanye njia kwamba umenipitia utaniumiza dear
Nami mwanadamu mwenye moyo na majonzi pia
Si unasikia kulialia ndo nnachokihofia
Kama ushanigonga basi nionee huruma, usiongeze gear
[PreChorus]
Oh nanana, uwepo wako mi mwenzako naenjoy
Oh nanana, yani kwako nyang'anyang'a nipo hoi
Oh nanana, mi kwako sisemi, sikohoi
Oh nanana, si unajua moyo
[Chorus]
Moyo wangu kwako umekaa-kaa-kaaa oweoh
Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
Waniwezaga
Ah you dey make me sing
Baby ah (Aah Aah)
Aaah (Aah Aah)
Baby ah (Aah Aah)
Aah Aah
Baby you dey make me sing
Aah ohh aah
[Verse 3]
Yani mpaka ladha zao za zamani nimesahau
Sura zao za zamani nasahau
Maana nikisikia kuhusu upendo
Nakuwaza wewe tu mahabuba
Na, nikitakaga upendo
Nawaza lako tu, huba
Na tukikwenda kwenye tendo
Unanifikishaga mpaka Cuba
Unakabaga uachi pengo
Si unajua moyo
[Chorus]
Moyo wangu kwako umekaa-kaa-kaa oweoh
Kila ukidunda paa-paa-paa oweoh
We ndo naekuwazaga-ga-ga oweoh
Waniwezaga
Ah you dey make me sing
Baby ah (Aah Aah)
Aaah (Aah Aah)
Baby ah (Aah Aah)
Aah Aah
Baby you dey make me sing
Written by: Marioo, Salmin Kasimu Maengo, Sweetbert Charles Mwinula