Music Video

Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza dial *837*2692#
Watch Obby Alpha- Bora kushukuru (Official Video) For Skiza  dial  *837*2692# on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Obby Alpha
Obby Alpha
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Obby Alpha
Obby Alpha
Songwriter

Lyrics

[Chorus]
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
[Verse 1]
Tabasamu njoo, nataka nibadiri
Wangu mtazamo niwaze kitajiri
Na wewe maumivu njoo, nataka nibadiri
Wangu msimamo niishi kijasiri
[Verse 2]
Ile habari ya kulialia Kila siku nakataa (Nakataa)
Na kama nilisainiwa mkataba nafuta aah
Ndugu tulowasaidia wakaficha makucha (Makucha)
Wao walipofanikiwa wakataka kutushusha aah
Nafuta zile why me!! Why me
Sijapata kwanini? Kwanini?
Najawa ujasiri, ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
[PreChorus]
Nafuta zile why mimi, why mimi
Sijapata kwanini? Kwanini?
Najawa ujasiri, ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
[Chorus]
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
Bora hata nimshukuru Mungu kwa hivi nilivyo
Maana hata kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
[Verse 3]
Na nilipo huenda Kuna wengine wanapatamani
Zamani huko nilishakataliwa na watu wa nyumbani
Kile kidogo ninacholalamika lakini nimepata
Wengine huko wamepambana wamekosa kabisa
Kumbe ni Bora kuridhika na hiki
Nilichopata ndio yangu ridhiki
Mungu ni bora yeye hatabiriki
Amekupa hicho mi amenipa hikii
[PreChorus]
Nafuta zile why me! Why me
Sijapata kwanini? Kwanini?
Najawa ujasiri ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
Nafuta zile why mimi Why mimi
Sijapata kwanini? Kwanini?
Najawa ujasiri, ujasiri
Nitapata na mimi na mimi
[Chorus]
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hivi nilivyo
Maana hata Kuna wengine hawajafika nilipo
Bora hata nimshukuru Mungu Kwa hiki nilichopata
Maana hata Kuna wengine wamekosa kabisa
Written by: Obby Alpha
instagramSharePathic_arrow_out