Top Songs By Barnaba
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Vocals
Barnaba
Performer
Lyrics
[Verse 1]
Moyo pupa, sijui kwanini undadunda sana
Ooh aibu, macho yako ukinitazama
Ntataka chips yai, asubuhi vitafunwa chai
I feel you mbaya, oh eti mbaya
Kama malaika ulivyoumbika, mithili ya kinanda au gitaa
Nikupige mbaya, oh eti mbaya
[PreChorus]
Mmh siutani, siutani mamaa
Kwenye hilo tope, mi nishazama (Nshazama mazima)
So usije kunichanganya
Ntalia machozi ntakusemea kwa mama
Kwangu ni wewe tu
[Chorus]
Only you (Mmh)
Only you (Ni wewe tu)
Only you (Ah mmh)
Only you (Kwangu ni wewe tu)
Only you
Only you
Only you
Only you (Yeah, yeah)
[Verse 2]
Mtoto idara zote yuko fine fine
Umbo na sura she looks fine fine
Ananimudu kidume niko fine fine
Kwenye baridi we joto njoo nkupe Peremende au Jojo
Kidume nishajaza ndoo tupunguze hata kikopo
Kukwacha siwezi we nazi mi mkwezi
Nimelewa mapenzi umeni overdoze (Umeni overdoze)
Mgonjwa nimepata Quinine, madaktari wengine wa nini
Ananitibu homa ya ini
Oh my ameniwini, nimemwini
[PreChorus]
Aah-ah siutani siutani mamaa ah
Kwenye hilo tope mi nishazama (Nshazama mazima)
So usije kunichanganya mpenzi
Ntalia machozi ntakusemea kwa mama
Maana ni wewe tu
[Chorus]
Only you (Forever you be in my mind)
Only you (Nikikosea usimind)
Only you
(Only you) Only you
(Baby forever you be in my mind)
Only you (Nikikosea usimind)
Only you
(Only you) only you
Aah I just wanna...
Only you
[Outro]
We nipepee (Dawa)
Usininyime mimi (Dawa)
Forever be mine (Dawa)
Usininyime mimi (Dawa)
We kwangu (Dawa)
Usininyime mimi (Dawa)
Forever you be mine (Dawa)
Usininyime mimi (Dawa), Naaah
[Verse 3]
Classic on the breeze
Its all about love babe
Love is beautiful,l ove is blind
You're my sunshine, your my boo
I cant live without you Mopa
Written by: Elias Barnaba