Music Video

Nandy - Falling (Official Lyrics Video)
Watch Nandy - Falling (Official Lyrics Video) on YouTube

Featured In

Lyrics

[Verse 1]
Ooh baby umenikamata you're eyes on me
Kwa moyo hakuna matata ushaweka kambi
Hauna baya hauna kona hauna dhambi
Tazama usoni my one and only
[Verse 2]
Nimefalling kwa penzi lako nishadata, data
When you calling me sauti yako inanikamata-tata
In the morning nacheza rhumba cha-cha-tata
And you know me when am falling yeah, yeah, yeah
[Chorus]
Ni mapenzi yamenishika haswa
Sasa ndo nini ninavyopenda huyu hapa
Saivi navimba nikitembea nanata
Naenjoy mapenzi shata-shata
[Bridge]
Ooh-ooh, ooh-ooh
Ooh-ooh, ooh-ooh
[Verse 3]
Kucheza nitaimba na kucheza
Kucheza nitaimba na kucheza
Kucheza nitaimba na kucheza
Kucheza nitaimba na kuchezaa
[Bridge]
Ooh-ooh, ooh-ooh
Ooh-ooh, ooh-ooh
[Verse 4]
Nimefalling kwa penzi lako nishadata, data
When you calling me sauti yako inanikamata-tata
In the morning nacheza rhumba cha-cha-tata
And you know me when am falling yeah, yeah, yeah
[Chorus]
Ni mapenzi yamenishika haswa
Sasa ndo nini ninavyopenda huyu hapa
Saivi navimba nikitembea nanata
Naenjoy mapenzi shata-shata
[Outro]
Ooh-ooh, ooh-ooh
Ooh-ooh, ooh-ooh
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga, John Kimambo
instagramSharePathic_arrow_out