Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
B2k Mnyama
Performer
Vanillah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Batwely Kinyunyu
Songwriter
Lyrics
Oh, oh, oh, oh
Starbeat boy
...Aaah
Spana!
(Masterkeys)
Una akili wewe?
Umechagua kunipenda mi na sina chochote
Eh
Una akili wewe?
Eh
Umechagua we kuwa nami
Sikulipi chochote
Eh!
Acha nikupe maua yako, oh
Ukiwa hai
Amini uwepo wako
Ndio unafanya ni furahi
Na hata, 'ukiwa na mawazo
Unaniwaza mimi, 'sitaki
Uwaze kwingine
Na hata, 'nikiwa na vikwazo
Unakuwa nami, 'hutaki
Niwaze kwingine
Na hivi niko na bigi, bigi (Bam, bam)
Eh!
Unasema unaipenda (Tam, tam)
Mapenzi kutesa 'zam kwa zam
Zamu yetu babe
Hata ukinigusa
(Oweeh, oweh, owah)
Moyo unacheka
(Oweeh, oweh, owah)
Ukinishika
(Oweeh, oweh, owah)
Aah, ukiniita
Moyo unacheka
(Oweeh, oweh, owah)
Moyo unacheka
(Oweeh, oweh, owah)
Ukinishika
(Oweeh, oweh, owah)
Moyo unacheka
Kinywa changu umekifumba
Siku hizi sililii mapenzi
Na siku mkiniona nalia mjue nalilia waliotangulia
Kichwa changu kilishayumba
Maana kiliwabeba wengi
Nilio waweka moyoni
Wakatoka wakanipanda kichwani
Kwa sasa nna amani (Nna amani)
Moyo unacheka, ah
Nimempata msikivu 'nami nikisema ninaeleweka
Nipo neemani (Neemani)
Na neemeka, ah
Nikimgusa, anatetema, ah
Kama jenereta
Nimerudi ujanani
Maana nilizeeka, ah
Kwa kukosea chaguo mapenzi 'yalininyoosha
Sitaki tena ah, ah, 'kuzubaa
Nitailinda hii yangu raha bhana
Maana wasonipenda ni wengi
Wanawaza mwiba mapenzi
Iiih..
(Oweeh, oweh, owah)
Moyo unacheka
(Oweeh, oweh, owah)
Ukinishika
(Oweeh, oweh, owah)
Aah, ukiniita
Moyo unacheka
(Oweeh, oweh, owah)
Moyo unacheka
(Oweeh, oweh, owah)
Ukinishika
(Oweeh, oweh, owah)
Nimerudi ujanani
(Oweeh, oweh, owah)
Maana nilizeeka, ah
(Oweeh, oweh, owah)
Kwa kukosea chaguo mapenzi
(Oweeh, oweh, owah)
'yalininyoosha
(Ma-Feeling Records)
...
(Take five now)
Written by: Batwely Kinyunyu