Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Mr. LG
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Nimefanya survey
Jiji lako liko salama
Umenitoa hofu mashaka (Shulala sholele)
[Verse 2]
Moyo upo Bombay
Mwili upo Dar Es Salaam
Hisia zimevuka mipaka (Shulala sholele)
[Verse 3]
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
[PreChorus]
Oka tafadhali, usiniache kwenye hii safari
Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo daktari
Tafadhali, usiniache kwenye hii safari
Usiende mbali, mi mgonjwa we ndo daktari
[Chorus]
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
[Verse 4]
Baby watazame wale, hawali wakashiba
Wanakesha kuroga tuachane
Kwetu mambo narenare, raha sio kawaida
Wenye presha na pumu ziwabane (Hmm)
[Verse 5]
Mapenzi uji wa moto (Wa moto)
Puliza me nikoroge (Nikoroge)
Kisha nifanye kama mtoto (Mtoto mdogo)
Unibebe nikaoge
[Verse 6]
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
Raha zimefatizana, utamu sukari tele
Mwilini tukipapasana, zinanisimama nywele
[PreChorus]
(Oka tafadhali) tafadhali mpenzi
(Usiniache kwenye hii safari) peke yangu siwezi
(Usiende mbali) siwezi, siwezi mimi
Mi mgonjwa we ndo daktari
Tafadhali (Tafadhali mpenzi)
Usiniache kwenye hii safari (Me peke yangu siwezi)
(Usiende mbali) chonde mpenzi
(Mi mgonjwa we ndo daktari) chonde mpenzi, chonde, chonde
[Chorus]
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
Olala, ololo, olala, ololo, ololo
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi, Salmin Kasimu Maengo, Sebastian Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out