Lyrics

[Intro]
Owlooh loohh
Oloo looh
Ooh Jay once again
Jini another one
[Verse 1]
Love is what I see,when I look at you
This thing I wish, nobody separate
I go be your Mbappe, speed beck kimpembe
I go follow your rules, to make you happy and cool
[PreChorus]
Unajua, mimi sina helaa
Ila nikiwa na wewe najiona tajiri
Babe unajua, mimi sina helaa
Ila nikiwa na wewe najiona tajiri
[Chorus]
Na, (Na feel naelea juu) juu (Napaa juu) juu
(Naelea juu) juu, napaa juu
(Na feel naelea juu) juu (Napaa juu) juu
(Naelea juu) juu, napaa juu
[Verse 2]
Kuna kihali fulani mwenzako na hisii
Kama kibaridi mwenzako na hisii
Kama kikizidi pooza na kiss
Haya baby iih
[Verse 3]
Hizo nyama nyama zako ongeza na chips
Kiuno laini bila ya gilisi
Wakitusumbua tuite police
Maana hawapendi
[PreChorus]
Unajua, mimi sina helaa
Ila nikiwa na wewe najiona tajiri
Babe unajua, mimi sina helaa
Ila nikiwa na wewe najiona tajiri
[Chorus]
Na, (Na feel naelea juu) juu (Napaa juu) juu
(Naelea juu) juu, napaa juu
(Na feel naelea juu) juu (Napaa juu) juu
(Naelea juu) juu, napaa juu
[Outro]
Yes I call you babe (Babe) oh honey (Honey)
Ooh sweet my babe boo
Mimi nakuita babe (Babe) oh honey (Honey)
Ooh sweety my babe boo
Written by: GENIUSJINI X66, Genius JiniX66
instagramSharePathic_arrow_out