Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Adam Amiry Maingwa
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Sweety umenikata mbawa sipai
I never seen before waniache nijidai
Mmh sweety nimesizi niko high
Penzi lako tamu ivo linanilewesha ka divai
[Verse 2]
Wananisimanga nakula najilamba
Eti ni ushamba sio mapenzi ah
[Verse 3]
Kama penzi lingekua chungwa
Ningelimenya kama chenza
Walisema hayawi yamekua
Mimi na wewe ndo forever haya
[Chorus]
Forever, forever
Forever, ndo forever
Forever, forever
Forever, ndo forever
[Verse 4]
Nimegundua mapenzi huwa
Yana raha yake tu ukiyajua
Akibandika nakibandua
Chakula chake duh, nakipakua
[Verse 5]
Ndo nimesha zama, ndo nimesha kwama
Moyo wangu na wake ngumu kuigawanya
Ndo nimesha zama, ndo nimesha kwama
Hata unitake huwezi kunipata mmh
[PreChorus]
Kama penzi lingekua chungwa
Ningelimenya kama chenza
Walisema hayawi yamekua
Mimi na wewe ndo forever haya
[Chorus]
Forever, forever
Forever, ndo forever
Forever, forever
Forever, ndo forever
Written by: Adam Maingwa, Sharif Saidi Juma