Music Video

Jay Melody _ Superstar (Official Music Lyrics)
Watch Jay Melody _ Superstar (Official Music Lyrics) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Adam Amiry Maingwa
Adam Amiry Maingwa
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Siku hizi sipo ka zamani
Makelele fujo mitani iih
Mwendo wa kucheza na money
Kuwaimbaisha majukwaani
[Verse 2]
Wakiniona hi burudani
Picha mbili tatu na ma fans iih
Asienipenda ni nani
Ka hataki afuse hewani
[Chorus]
Watu shangwe watu shangwe
Na vigele gele
Watu shangwe watu shangwe
Na vigele gele
Watu shangwe watu shangwe
Na vigele gele
Watu shangwe watu shangwe
Na vigele gele
[Refrain]
Super star ah
They call me a super star ah
Niki penda ah
Watu wanapata raha, basi ni peace
Super star ah
They call me a super star ah
Niki penda ah
Watu wanapata raha, basi ni peace
[Verse 3]
Marafiki ni wengi sana
Na ma babe ni wengi sana
Na collabo ni nyingi sana
Very soon ntapiga na burna
Ona sasa wameacha mwanya
Kila kona nnavyo wasakanya
Nasikika usiku mchana
Napendwa mpaka ngumu kubana
[Verse 4]
Ooh loh sir god asante kwa hiki chako kikombe (Kikombe)
La sivyo ingekua kinyonge
Ooh loh sir god asante kwa hiki chako kikombe (Kikombe)
La sivyo ingekua kinyonge, ooh loh
[Chorus]
Watu shangwe watu shangwe
Na vigele gele
Watu shangwe watu shangwe
Na vigele gele
Watu shangwe watu shangwe
Na vigele gele
Watu shangwe watu shangwe
Na vigele gele
[Refrain]
Super star ah
They call me a super star ah
Niki penda ah
Watu wanapata raha, basi ni peace
Super star ah
They call me a super star ah
Niki penda ah
Watu wanapata raha, basi ni peace
[Outro]
Ai sikuizi nani siku hizi nani (Once again)
Naitwa nani naitwa nani (Once again)
Oya sikuizi nani siku hizi nan (Once again)i
Naitwa nani naitwa nani (Once again)
Written by: Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out