Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Cuckie Daddy
Cuckie Daddy
Composer
Sweetbert Charles Mwinula
Sweetbert Charles Mwinula
Composer
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Cuckie Daddy
Cuckie Daddy
Producer

Lyrics

[Verse 1]
I know that you deserve some more
Anything that you are baby you should let me know
You know that ukinitenda utaniumiza roho
Maana si unajua we ndo kipenda roho
[Verse 2]
Kuwe kuna mvua jua we baki hapa kando yangu
Iwe shibe njaa basi nile nawe
Kama kuna huzuni karaha we ndo faraja yangu
Siku za furaha naenjoy nawe
[PreChorus]
Why, why, why, why, why, nikulizee
Why, why, why, why, why, nikuumizee
Why, why, why, why, nikulizee
Why, why nikuumizee
[Chorus]
Siwezi kukuacha
Wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
Siwazi kuachana
Wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
[Verse 3]
Umenifanya niwaze ningewezaje
Dunia bila uwepo wako aah
Umenifanya nijiulize je ningeenjoy
Je hii dunia nisingekuwa wako
[Verse 4]
You're the one i have bbeen waiting for
Asali yaa moyo wangu
Faraja yangu iliyomo ndani yangu
[PreChorus]
Why, why, why, why, why, nikulizee
Why, why, why, why, why, nikuumizee
Why, why, why, why, nikulizee
Why, why nikuumizee
[Chorus]
Siwezi kukuacha
Wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
Siwazi kuachana
Wala kukuliza mpenzi mpaka nizikwe
Written by: Cuckie Daddy, Omary Ally Mwanga, Sweetbert Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out