Top Songs By Hamadai
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Hamadai
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamadi Saidi Hassan
Songwriter
Ali Saleh Kiba
Composer
Lyrics
Oh baby mwezi hauishi ntakuvisha pete (Niamini)
Vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe (Niamini)
Ntakutunza ntakupamba umeremete (Niamini)
Me kwako sina ujanja ah mpechempeche (Niamini)
Baby niamini, baby niamini, nakuomba niamini, baby niamini, niamini ooh niamini (Niamini)
Sasa nkienda club hata dem sitongozi (Niamini)
Hata kulewa silewi namuogopa Mwokozi (Niamini)
Sitamani kuona ukilia ntakufuta machozi (Niamini)
Ntakukanda kanda ntakunyoosha masozi (Niamini)
Baby niamini, baby niamini, nakuomba niamini, baby niamini, niamini ooh niamini (Niamini)
Ntajenga sanamu yako pale posta wakipita wakuone (Niamini)
Kwenye show nitataja jina lako tu wenye wivu iwachome (Niamini)
Mmh, nakupenda baby (Niamini)
Kama huamini nikupost baby (Niamini)
Baby niamini, baby niamini, nakuomba niamini, baby niamini, niamini ooh niamini (Niamini)
Natamani nkupe mimba, kichefuchefu nibaki nacho mwenyewe (Niamini)
Ama niende Tandahimba, nkuchinjie mbuzi unielewe (Niamini)
Ukitaka nyimbo ntakuimbia kikongo, sonni wela (Niamini)
Sitatumia fimboo, ukinikosea ntakuchapa na hela (Niamini)
Baby niamini, baby niamini, nakuomba niamini, baby niamini, niamini ooh niamini (Niamini)
Ukipata case ya kufungwa nipo radhi wanipeleke mimi jela (Niamini)
Uta-enjoy life baby japokuwa hali yangu kabwela (Niamini)
Talk to me, bas niamini, oh baby (Niamini)
Eh baby mi niamini oh, niamini (Niamini)
Written by: Ali Saleh Kiba, Hamadi Saidi Hassan