Lyrics

M-A-U-A Sama
(Yeah!)
(Jini X66)
Mm, nilisema sitopenda, nimependa, penda tena, ah (ah-ah-ah)
Sasa nimeshatekwa, mi nimetekwa, oh, tekwa tena
Yaani kama njiwa tunapepea wawili
Mi' na yeye hatuna kitendawili
Ah, nanenepa jamani si kwa penzi hili
Nisipomwona mi' navurugwa akili
Ninawaza akiniacha, ah-ah-ah
(Sa' itakuwaje, sa' itakuwaje, sa' itakuwaje)
Ninawaza akiniacha, aah-aah
(Sa' itakuwaje) oh-oh (sa' itakuwaje, sa' itakuwaje)
Mapenzi anayonipa, sitomwacha hata aniache katakata
Kwa gari, nimeshafika, ah, sitoshuka hata anishushe katakata
Kama njiwa tunapepea wawili
Mi' na yeye hatuna kitendawili
Nanenepa jamani sio kwa penzi hili
Nisipomwona ninavurugwa akili
Ninawaza akiniacha, aah-aah
(Sa' itakuwaje) uanze wewe (sa' itakuwaje, sa' itakuwaje)
Ninawaza akiniacha, aah-aah
(Sa' itakuwaje) uanze wewe au mimi (sa' itakuwaje, sa' itakuwaje)
Ninawaza akiniacha (aah-aah-aah-aah-aah)
Sa' itakuwaje (ah, aah-aah-aah)
Baby, ih (ah, aah-aah-aah, ah-ah)
He! (Aah-aah-aah-aah-aah, ah, aah-aah-aah, ah)
Oh, ita-kuwaje, kuwaje (aah-aah-aah, ah-ah) baby
Music
Written by: Ally Salehe Kiba, Maua salehe Sama
instagramSharePathic_arrow_out