Lyrics
[Verse 1]
Ooh mapenzi, anachonipa nimeridhika
Hata nikilala mi nalala pembeni yake
Ooh mapenzi, ninachompa anatosheka
Hata akilala analala pembeni yangu
[Verse 2]
Iwe kwa bodaboda ama kwa bajajii
Ameridhika, ameridhika
Apike ata bila mbogaa, aah hatatunywe maji
Nimeridhika, nimeridhika
[PreChorus]
Kuna mapenzi yenu, kuna mapenzi yetu sisi
Anachonipa naridhika, anachonipa naridhikaa
Kuna my wenu, kuna huyu wakwangu mimi
Ninachompa anatosheka, ninachompa anatosheka
[Chorus]
Ooh baby boo! boo! boo! Ooh baby boo!
Aah ni wewe tu tu tu, ni wewe tu
Ooh baby boo! boo! boo! Ooh baby boo!
Aah niwewe tu tu tu, ni wewe tu
Aah ni wewe
[Bridge]
Iyeeh
Aaah aah
Mmh
Mmh
[Verse 3]
Vimaneno neno sikatai, mengi watuzusha sana
Mara muhuni mara eti sikufai, ooh baby siunajuaa
Ooh asantee eeh kwa kunipenda, ooh asantee eeh kwa kukupenda
Asa naanzaje tena oooh kukutenda, asa naachaje eeh ooh kukupendaa
[PreChorus]
Kuna mapenzi yenu, kuna mapenzi yetu sisi
Anachonipa naridhika, anachonipa naridhikaa
Kuna my wenu, kuna huyu wakwangu mimi
Ninachompa anatosheka, ninachompa anatosheka
[Chorus]
Ooh baby boo! boo! boo! Ooh baby boo!
Aah ni wewe tu tu tu, ni wewe tu
Ooh baby boo! boo! boo! Ooh baby boo!
Aah niwewe tu tu tu, ni wewe tu
Aah ni wewe
Written by: Cukie Dady, Platform