Music Video

Platform X Marioo - Fall (Official Music Video)
Watch Platform  X Marioo - Fall (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Platform
Platform
Performer
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Abbah
Producer

Lyrics

Need a pro baby...
Shii
Aah, sauti yako kama ringtone
Nikilala kwa masikio
Bado inanijia ah
Bado naisikia ah
Kama macho we ndo zangu mboni
Hata nisipafumba wengine sioni
Bado unanijia ah, uninijia ah
Kwenye baridi unikumbate
Dimbwi la mapenzi tuwe wote
Upweke mwenzako nahofia
Nipeti nipate tulia
Ninavyokupenda usichoke
Kama basi kufa tufe wote
Nzi kidondani nafia
Nipeti nipate tulia, ayayayaya
(Aaah) kwako nime fall in love
I'm fall in love oye ye ye ye
(Aaah) nime fall in love
I'm fall in love
Ooh, mi na wewe (mm mm)
Yeah, ah iwe kiangazi ama kwa masika
Uniahidi baby tutafika
Ooh, mimi na wewe
Ooh, mimi na wewe
Iwe raha ama patashika
Kwenye mabonde na kadharika
Ooh, mimi na wewe
Ooh, mimi na wewe
Ah kama umeroga basi ongeza tena (basi ongeza tena)
Nipagawe mazima (yeah yeah), ooh mazima
Mmh ninavyokupenda usinichoke
Kama basi kufa tufe wote
Nzi kidondani nafia
Nipeti nipete tulia, oye ye ye ye
(Aaah) kwako nime fall in love
I'm fall in love oye ye ye ye
(Aaah) nime fall in love
I'm fall in love, oye ye ye ye
(Aaah) mm kwako nime fall in love
I'm fall in love oye ye, yeah
(Aaah) ooh, kwako nime fall in love
I'm fall in love oye ye ye ye (mm)
Fall in love, fall in love
Written by: Marioo
instagramSharePathic_arrow_out