Credits
PERFORMING ARTISTS
Nandy
Vocals
Mocco Genius
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Producer
Lyrics
[Intro]
Aah hayaa yamenishika
Aah hayaa
[Verse 1]
Mi nahisi dally nimenenepa mwili
Hata ngozi yangu inanawiri
Wewe ndio kipenzi changu (Kipenzi changu)
Alonipa Mungu (Alonipa Mungu)
Furaha yangu, nanena peke yangu
[Verse 2]
Baby natamani nifungue moyo uonee
Ilivyo ndanii ii, eeh
Kama ni thamani mfano wako ufanane
Na kitu gani mhhh
[PreChorus]
Because I love you uuh
Baby I love you too much oo, too much oo
I know you love me too much oo, too much oo
[Chorus]
Aah haya yamenishika
Aah hayaa yamenishika
[Verse 3]
Kama jenereta moyo wangu unandunda unanitweta
Mwenzako naogopa aah naogopa aah
Mi naseleleka yani kwenye tope naseleleka
Jamvi na mkeka kwako nimewekaa
[Verse 4]
Baby natamani nifungue moyo uonee
Ilivyo ndanii ii, eeh, eeh
Kama ni thamani mfano wako ufanane
Na kitu gani mhh
[PreChorus]
Because I love you uuh
Baby I love you too much oo, too much oo
I know you love me too much oo, too much oo
[Chorus]
Aah haya yamenishika
Aah hayaa yamenishika
Aah haya yamenishika
Aah hayaa yamenishika
Written by: Mocco Genius