Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Nusder Venom
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi
Ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingizi
Ulikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula
Ulikuwa wapi mbona umechelewa
[Chorus]
Mbona umechelewa
Mbona umechelewa
Mbona umechelewa
Mbona umechelewa
[Verse 2]
Nilipelekwa puta sikubembelezwa kupewa hadhi
Nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya nazi
Kumbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa
Hata kula mwiko yaani mi nilipaswa kulishwa
[Verse 3]
Kwa urefu wa mkono gani mgongo kujisugulisha
Mengine mapya ya chumbani oya we umenifundisha, mbona
[Chorus]
Mbona umechelewa
Mbona umechelewa
Mbona umechelewa
Mbona umechelewa
[Refrain]
Kijiti eeh, kijiti (Ooh kijiti)
Nakishika-shika kimemchoma kijiti (Kimemtoboa)
Kijiti eeh, kijiti (Ooh kijiti)
Nakishika-shika kimemchoma kijiti
[Verse 4]
Kama midomo chongeo kachongeni penseli
Mambo ya kwenye video si tunayafanya kweli
[Refrain]
Kijiti eeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
[Verse 5]
Unataka embe dodo ya nini urushe kote
Tingisha mti kidogo chini utaziokota eeh
[Refrain]
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
[Verse 6]
Wa mdondo wa mdondo huyo kuku wa madoa
Kamaliza mikorogo ngozi kujikoboa
[Refrain]
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
[Verse 7]
Uuh mwafulani mwisho wako barazani
Mwafulani ushoga wa zamani kuyajua ya chumbani
[Refrain]
Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti
[Outro]
Odo Odo wangu ooh Odo
Nikidondoka unibebe Odo
Odoo Odo
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi