Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay
Aslay
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
John Hamis Misana
John Hamis Misana
Producer

Lyrics

[Intro]
Yeeh lelele
Looh
Leeh lelele
Ooh lolololoh
Lolo
[Verse 1]
Tuna siku tatu toka tumeachana
Yaani juzi kuamkia jana
Yaani hata week haijaisha
Kinachonisikitisha tayari ameshapata bwana
[Verse 2]
Halafu hawezi
Haonyeshi dalili ya machozi
Yaani bonge la surprise amenifanyia
Mwili wote umeingiwa ganzi
[Verse 3]
Ina maana alikuwa ananisaliti
Ndiyo maana haikupita hata wiki
Inauma maumivu hayasimuliki
Kuona wakipeti-peti hadharani
[PreChorus]
Wanajua kunirusha roho
Wakiniona ndiyo wanashikana
Malovebite kwenye shingo
Kwa mdomo ndiyo wanalishana
[Chorus]
Yala weeh, yala weeh inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
Najikaza kisabuni lakini roho inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
Najikaza, najikaza lakini ukweli inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
[Verse 4]
Aiyoo
Lile, lile, lile
Aah lilele eeh
[Verse 5]
Jamani mi ndugu yenu ninateseka
Nitahama nivikimbie hivi vibweka
Majirani nao washaanza kunicheka
Nyimbo za mafumbo ameachwa, ameachwa
[Verse 6]
Akili inanituma nikapigane
Ila mwana mbavu kajazia simuwezi
Natamani nimtukane
Ila nikimuona nabaki kigugumizi
[Verse 7]
Naomba wafe baharini waliwe na papa
Halafu yule papa avuliwe aletwe hapa
Nimle nishibe na miba niwape paka
Wivu umenishika nimechoka, nimechoka
[PreChorus]
Wanajua kunirusha roho
Wakiniona ndiyo wanashikana
malovebite kwenye shingo
Kwa mdomo ndiyo wanalishana
[Chorus]
Yala weeh, yala weeh inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
Najikaza kisabuni lakini roho inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
Najikaza, najikaza lakini ukweli inauma
Yala weeh, yala weeh inauma
[Outro]
Nasikia wivu
Ina maana magetoni ndiyo haji tena
Mwenzenu nasikia wivu
Alivyonipa mimi anampa yule bwana
Nasikia wivu
Ooh inauma
Mwenzenu nasikia wivu
Jamani eeh inauma
Nasikia wivu
Inauma
Mwenzenu nasikia wivu
Nasikia, nasikia wivu
Nasikia wivu
Eeh lelele
Mwenzenu nasikia wivu
Unaniumiza wivu
Written by: Aslay
instagramSharePathic_arrow_out