Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Maua Sama
Performer
COMPOSITION & LYRICS
G Boy
Songwriter
Lody Music
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Eti nilie mara ninune kisa kuachwa
Mnao subiri nitoe machozi si tuko hapa
Unampenda mtu hakupendi kuvuja kwa pakacha
Sipangiwi ratiba na mtu mapenzi takataka
Sa'ivi bila beat nakwenda hata acapella
Eti nisile tonge kuna jitu linanikera
Stories za mapenzi sitaki, nataka za hela
Ndo maana hata Vanessa aliimbaga tu kisela
Ooh, yeah
[Chorus]
Poa tu
Eeh (Mi niko poa tu)
Eeh (Mwenzenu poa tu)
Yaani unipende, usinipende mi niko (Poa tu)
Eeh (Mi niko poa tu)
Eeh (Mwenzenu poa tu)
[Bridge]
Eeh
Poa tu
Poa tu
Poa tu
Mwenzenu poa tu
[Verse 2]
Kuchi kuch hota hai (Hota hai)
Nachojua sitozikwa nae
Hizo sweety sijui bae (Eeh bae)
Kazipeleke Mumbai (Mumbai)
[Verse 3]
Sa'ivi bila beat mi nakwenda hata acapella
Eti nisile tonge kuna jitu linanikera
Stories za mapenzi staki, nataka za hela
Ndo maana hata Vanessa aliimbaga tu kisela
Ooh, yeah
[Chorus]
Poa tu
Eeh (Mi niko poa tu)
Eeh (Mwenzenu poa tu)
Yaani unipende, usinipende mi niko (Poa tu)
Eeh (Mi niko poa tu)
Eeh (Mwenzenu poa tu)
[Outro]
Eeh
Poa tu
Poa tu
Poa tu
Mwenzenu poa tu
Eeh-eeh
Yaani unipende, usinipende mi niko
Eeh-eeh
Written by: G Boy, Lody Music