Lyrics

[Verse 1]
Nakupa sifa zote baby
Unanichanganya changanya eweh baby iih
Kwenye sita kwa sita wee fundi baby iih
Unanikoroga koroga sijiwezi iih eeh
[Verse 2]
Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang'aa ng'aa
Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa
Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang'aa ng'aa
Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa
[Chorus]
Mpenzi wangu nakupenda wewe tu
Me mwenzio bila wewe si kitu
Tumwombe Mungu atuepushe vitu vitu
Tuishi milele mpaka tuone vitukuu
[Refrain]
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah oweoh
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah ooh oweoh
[Verse 3]
Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu
Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku
Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu
Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku
[Verse 4]
Yeye na mimi tupo sayari yetu sayari yetu
Tumeridhiana na yetu madhaifu madhaifu
[Chorus]
Mpenzi wangu nakupenda wewe tu
Me mwenzio bila wewe si kitu
Tumwombe Mungu atuepushe vitu vitu
Tuishi milele mpaka tuone vitukuu
[Refrain]
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah oweoh
Washachelewa aah aah oweoh
Ushawaiwa aah aah oweoh
Written by: Bakari Katuti
instagramSharePathic_arrow_out