Lyrics
[Verse 1]
Kwenye safari ya mapenzi we dereva imara
Panapo na utelezi naombaga na maraa
Mai I know (I know)
Zitakuja changamoto to-to
Sweety I know (I know)
Tutapitia misoto to-to
[Verse 2]
Najua unanipenda mchumba, huwezienda na kimbunga
Najua unanipenda Lazizi, huwezienda na mawimbi mpenzi
Sura yako, sura yangu, zishaanza kufanana
Moyo wako, moyo wangu, kupendana hadi kiama
[Chorus]
Siko single (Mchumba wambie)
Hako single
Siko single (Mchuchu-chu waambie)
Hauko single
[Verse 3]
Hasara, hasara, hasara nilipata before
Hasara za duka la mapenzi zilinikausha koo
Sikulala, sikulala mimi, mambo ya kurushwa roho
Nikaapa kupenda sitaki tena, haki mie no-noo
[Verse 4]
Wewe ni nani wewe, ulonibadilisha akili
Wewe ni nani wewe, umenitawala mwili mpenzi
Sura yako, sura yangu, zishaanza kufanana
Moyo wako, moyo vangu, kupendana hadi kiama
[Chorus]
Siko single (Mchumba wambie)
Hauko single
Siko single (Mchuchu-chu waambie)
Hauko single
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi