Lyrics
Girl you know ooh, umechukua my mind my body and my soul, uuh
Wewe ndo kipenda rohoo, uzuri ulionaoo unawaka waka ooh rii
Tunavyo match-match uuh, Mungu azidi tu bless, wanapigwa baridi mwepesi, wetu shahidi mwenyezi
We ndo wangu drevaa kokote nitaendaa, usafiri nyongeza, me and you
Nitakupenda mpaka kufa, mahaba kutwa kucha, wachawi wataisoma namba, forever me and you
La lalalala, lalalala, lalala, ooh la lalalala lalalala, lalalaa
Ooh la lalalala lalalala, lalalaa, ooh la lalalala lalalala, lalalaa
Sweet love, sweet love unanichanganya you, you, Sinyoorita kila mara unanipa mood
Unanikosha roho baby, shikamoo, shikamoo, wanipa raha zangu, baby give me more, give more
Mwili wote ni mwepee (Raha juu tunapeana), ahadi yangu ya pekee (Mimi nawe tutaoana)
We ndio wangu derevaa kokote nitaendaa, tusafiri together me and you
Nitakupenda mpaka kufa, mahaba kutwa kuchaa, wachawi wataisoma number, forever me and you
La lalalala, lalalala, lalala, ooh la lalalala lalalala, lalalaa
Ooh la lalalala lalalala, lalalaa, ooh la lalalala lalalala, lalalaa
Ah oh go shawty my woman, unavyokatika you turn me on
Go shawty my woman, unavyokatika you turn me on
Unanikosha roho baby shikamoo, shikamoo
Wanipa Raha zangu baby give more, give me more
La lalalala, lalalala, lalala, ooh la lalalala lalalala, lalalaa
Ooh la lalalala lalalala, lalalaa, ooh la lalalala lalalala, lalalaa
Written by: Al-Hakam El Kaubaisy, Frobisher Mbabazi, James Murray, Jimmy Napes, Jonny Coffer, Mustafa Omer, Sam Smith, Shahid Khan