Credits
PERFORMING ARTISTS
Dogo Paten
Lead Vocals
Zuchu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuhura Othman Soud
Composer
Hashim Rajabu Zuberi
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
GOOD MASTER
Producer
Lyrics
Oya Pabloo utaua utaua
Ibilisi alinipanda sa ningefanya nini
Nilijikuta najitetea sababu na panga kiunoni
Ila afande sio lwamba nauza mi mwenyewe nauziwa
Ile kesi ya robbery afande nimesingiziwa
Afande niligezee kamba
Ili niweze kukupanga afande
Yote sababu mchumba
Ndio mana mi naiba afande
Afande niligezee kamba
Ili niweze kukupanga afande
Yote sababu mchumba
Ndio mana mi naiba afande
Aya weee Aya weee
Zuu chuu chu chu
Hiyo mideeni mideni
Ndo inafanya mi nakesha lokesheni
Afande niache chee chee chee niacheni
Nkadange nipe nba ntawatumieni
Ila tuongee ukweli afande una Shingapi
Kama una bukubilo nkpe buku mi nabaki
Kibaharia wawili afu nna kula bati
Mbona utanisitili sina mia sina gachi afande
Afande niligezee kamba
Ili niweze kukupanga afande
Au niwe wako mchumba
Ndio mana mi naiba afande
Afande niligezee kamba
Ili niweze kupanga afande
Yote sababu mchumba
Ndio mana mi naiba afande
We masha love bado hajajua singeli inachezwaje
Na Khadija Kopa bado hajajua singeli inachwezaje
Nana mapozi bado hajajua singeli inachezwaje
Mariam Saula bado hajajua singeli inachwezaje
Waonyesheni mguu pande, mguu sawa
Tunaruka mguu pande, mguu sawa
Tunacheza mguu pande, mguu sawa
Aya wee che cheche
Cheche che cheche cheche che
Sikia sikia
Jamani lioneni lile pua lake kama mjagi
Eh mashauzi mingi mi mwenzenu simpendagi
Tumpige za kichina china, za kichina china (khuu khaa)
Za kichina china, za kichina china (khuu khaa)
We za kichina china, za kichina china (khuu khaa)
Za ki Jet Li, za ki Jet Li (khuu khaa)
Za kichina china, za kichina china (khuu khaa)
Written by: Hashim Rajabu Zuberi, Zuhura Othman Soud