Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
D Voice
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
Abdul Hamisi Mtambo
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Aii sweet
Kuna kitu mi nataka nikwambie
Lakini naogopa
Utaniona ka nina wivu hivi
Ooh sweet
[Verse 2]
Nikuonong'oneze wa pembeni wasisikie
Maana naogopa
Wataniona ka nina wivu hivi
[Verse 3]
Asa sijui ndo ujinga
Sijui ndo ufala
Au sijui mazoea
Ila napata tabu ukiwa mbalii maa
[Verse 4]
Maana nashindwa
Kula ata kulala
Mnyonge nanyong'onyea
Mwenzio napata tabu ukiwa mbali maa
[PreChorus]
Honey kwako michizi poyoyo
Usiende mbali na mi
We ndo tulizo la moyoo
Honey kwako michizi poyoyo
Usiende mbali na mi
We ndo tulizo la moyoo
[Chorus]
Oh na kama si wewe (Nani)
Wakuniliwaza (Nani)
Kunibembeleza (Nani)
Oh kunipepea nilale (Nani)
[Chorus]
Oh na kama si wewe (Nani)
Wakuniliwaza (Nani)
Kunibembeleza (Nani)
Wa kunipepea nilale (Nani)
[Verse 5]
Zuchu chu chu
Kuna venye utimamu
Unanitoka nakuwa chakalamu
Hii inaiitwaje kitaalamu
Ukitajwaa kimoyo mi paa
[Verse 6]
Why, why, why, why utamu
Mshwiti shwiti babugamu (Babugam)
Yaani nyam, nyam, nyam nyam, nyam, nyam
Ndio mapenzi au ufalaa
Why, why, why
[Refrain]
Kwanza yote tisa kumi
Moyo umeuwamisha kambi
Unanipa penzi sabuni
Lanitakatisha dhambi
[Verse 7]
Wanao subiri
Livunjike penzi hili
Hatutishwi na tumbili
Kuachana apange mwenyezii
[PreChorus]
Honey kwako michizi poyoyo
Usiende mbali na mi
We ndotulizo la moyoo
Honey kwako michizi poyoyo
Usiende mbali na mi
We ndotulizo la moyoo
[Chorus]
Oh na kama si wewe (Nani)
Wakuniliwaza (Nani)
Kunibembeleza (Nani)
Oh kunipepea nilale (Nani)
Oh na kama si wewe (Nani)
Na kama si wewe (Nani)
Eeh (Nani)
Nani, nani (Nani)
Wa kunilegeza
Written by: Abdul Hamisi Mtambo, Zuchu, Zuhura Othman Soud