Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Nasibu Abdul Juma Issaack
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Trone
Producer
Lyrics
[Intro]
Sis indo wale wale
Mlio tukataa
Mkasema hatufiki mbalee (Na samba lamaa)
Sasa tumejipata
Ni zuchu chu chu chu chu
[Verse 1]
Ayayayaa
Ulivyonipiga juju
Ulidhani nitagwaya
Hukujua nina Mungu
[Verse 2]
Ayayayaya
Eti nile chukuchuku
Mambo yangu yako sawa
Nishashiba kukukuku
[Verse 3]
Hee chote ni choyo, na sijalii
Ndio kina, waumiza
Na mungu wangu (Na mungu wangu)
Yu ngangari, cheza nami atawamaliza
[Verse 4]
Karibu ntanunua gari nakuja kwenu
Itaneni muambizane mie miae (Mama sumaa)
Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu
Mi ndo yule mlikatazwa, msicheze nae
[Chorus]
Sisi ndo nani (Sisi ndo wale wale)
Sisi do wale wale (Mlio tukataa)
Mlio tukataa (Mkasema hatufiki mbalee)
Jamani Mungu si athumani (Sasa tumeipata)
[Chorus]
Adi aah hee (Sisi ndo wale wale)
Sisi do wawawawa (Mlio tukataa)
Mlio tukataa (Mkasema hatufiki mbalee)
Jamani mungu si athumani (Sasa tumejipata)
[Bridge]
Aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti
Tikiti tikiti, tikiti tikiti
Hee, arerererere
Are tokoto tokoto
Tokoto tokoto, tokoto tokoto
Eeeh
[Verse 5]
Ooh eti ntakuta (Kwani we utaishi milele)
Nilipozitatuta (Mbona mliniacha mwenyewe)
Hizo chuki na pupa ooh (Ndo zinofanya mchelewe)
Ooh kwa kushinda kutwa (Roho mbaya na viherehere)
[Verse 6]
Hee na mwaka huu Mtaisaga rumba (Eh kwanini)
Oh maana nimemowomba Mungu mpaka nyumba
Na miiandae kwa sare za ndoa sio uchumba (Eh waganga)
Waganga wenu wambieni wakoleza ndumba
[Verse 7]
Ooh binadamu ni waajabu sana (Jaabu sana)
Wana maneno kukatisha tamaa
Binadamu ni waajabu sana
Wana matendo ya kuumiza sana
[Verse 8]
Walisema eti nna nuksi ya senti
Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti
Nani wa kunidate bega kama kenchi
Kudadeki zenu asa mbona makechi
[Chorus]
Ooh sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)
Sisi do wale wale (Mlio tukataa)
Mlio tukataa (Mkasema hatufiki mbalee)
Jamani Mungu si athumani (Sasa tumeipata)
[Chorus]
Adi aah hee (Sisi ndo wale wale)
Sisi do wawawawa (Mlio tukataa)
Mlio tukataa (Mkasema hatufiki mbalee)
Jamani mungu si athumani (Sasa tumejipata)
[Outro]
Aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti
Tikiti tikiti, tikiti tikiti
Hee, arerererere
Are tokoto tokoto
Tokoto tokoto, tokoto tokoto
Eeeh
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack, Zuhura Othman Soud