Credits
PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Vocals
Rayvanny
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Macho yalikuona, moyo ukakuchagua
Mdomo ukasema nakupenda aah
Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua
Maumivu yamekwenda aah
[Verse 2]
Mi ni zawadi nilopewa
Macho nipepese wapi, mi kipofu kwako sioni
[Verse 3]
Penzi limetaratadi, napepewa
Harufu ya marashirashi
Nikitouch touch shingoni
[Verse 4]
Uvae baibui khanga
Viatu vya kuchuchumia kangaroo
Kisima tui tanga
We huba nifukizia pambe tu
Ukizungushia shanga
Inashuka inapanda chini juu
Nishatafuna karanga
Asa chumba ndo kiwanda watoto tu, iye-iye
[Chorus]
Number one, you're my number one
Number one, you're my only one
Number one, you're my number one
Number one, you're my only one
[Bridge]
La-la-la, la-la-la
La-la-la uhm
[Verse 5]
Hausukumi damu moyo
Unasukuma upendo wangu
Niko mahabani mambo sawa (Sawa)
[Verse 6]
Penzi nalimung'unya kibogoyo
Nimepata size yangu
Yaani nalioga sio kunawa (Na-ah)
Filimbi nitapuliza
Kuita ndege waje
Raha zimefululiza
Kwako natokaje?
[Verse 7]
Hadi bububu umepitiliza
Tuko kwa bibi paje
Taratibu unaniliza baba (Tulivuruge varanga)
[Verse 8]
Chimeneza kunengua kwangaru
Nikiandae kitanda
Shuka za maua ua ya maroon
Kisha tugonge na vianda
Mambo ya kujizimua na varu
Nifunge upande khanga
Babu Juma we kwarua kwa kwaru
[Verse 9]
Oh baby you are my
Number one (You're my) you're my number one
(My one and only) Number one, you're my only one
Baby my (Number one)
Baby my (You're my number one)
(Ah ii oh oh) Number one, you're my only one
[Outro]
Penzi limetaratadi, napepewa
Harufu ya marashirashi
Nikitouch touch shingoni
Written by: Rayvanny