Featured In
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Mocco Genius
Producer
Lyrics
[Intro]
Hii ariroo-arioo, rararii-rararirii
Iyaa iya, iya eeh
Tiyadi yadi
Yadi, yadi, yadi
[Verse 1]
Me amor teamo le te quero te quero
Yaliyomo yamo
Ujazo wa penzi kwa bero
Mwenzako migulu chegele
Kwa ndani naugulia kwa nje bwerere
Sema upendacho utakula njegere
Kinyama kurumagia au nkuchumie tembele
Na bila huruma unanichuza mambo unayabaruza
Mi' mtoto unanikuuza we hayaa!
[PreChorus]
Unanichezesha kwaito wakorowaito
You de give me banana yo love is tanana
Nacheza kwaito wakorowaito
My baby twachezeshana
[Chorus]
Che, che (Hee)
Checherumba che-che (Tunashikana-shikana)
Checherumba che che (Tunachezeshana)
Checherumba che (Che, che, che rhumbaa)
Che, che (Chee)
Checherumba che-che (Zinatoka cheche)
Checherumba che-che (Tukigusana gusana)
Checherumba che (Chee, chee, chee)
[Verse 2]
Eeh unapendaga chocolate (Enhee)
Mavanila nila (Enhee)
Tamtam sweety eti (Enhee)
Nikichenga ka roger milla (Enhee)
Mbrrookee!
[Verse 3]
Penzi koleza udi wa Dubai (Alhabib)
Huba lipambe moto
Kama mafuta kwa karai, okey
Na ulivo katotorito, toh
Leo mpaka kokoriko, ko
Getoni kulamba mwiko, ko
Sakafu adi kwa tandiko ko, korikoko
[PreChorus]
Mama utaniua (Nikomeshe)
Ya Leo kiboko (Nikomeshe)
Imezidi utamu (Nikomeshe,she-she, nkomeshe)
Asa kukwacha we (Ntawezaje)
Niende kwa mwengine (Ntawezaje)
Jeuri sinaa
Jinsi twachezeshanaa
[Chorus]
Che, che (Hee)
Checherumba che-che (Tunashikana-shikana)
Checherumba che-che (Tunachezeshana)
Checherumba, che (Che, che, che rhumbaa)
Che, che (Chee)
Checherumba che-che (Zinatoka cheche)
Checherumba che-che (Tukigusana gusana)
Checherumba, che (Chee, chee, chee)
[Verse 4]
Na kakara zako kinkiriiii (Kinkiri kanka)
Kinkiri kakaraarara (Kinkiri kanka kinkiri)
Yo unanimalizaagaa
Eeh na kakara zako kinkiriii (Kinkiri kanka)
Venye unavyokinkiri (Kinkirinka kinkiri)
Oh (Kinkiri kanka ki ka kirinkaka)
[Outro]
Unanichezesha kwaito
Wakorowaito
You de give me banana
Yo love is tanana
Nacheza kwaito wakorawaito
My baby twachezeshana
Written by: Platinumz Diamond, Zuchu