Lyrics
[Verse 1]
Kama utani moyoni ameingia nami nimeshzamaaa
Tulikutana Tiktok, ndo mwanzo wa kufahamiana
Mara ghafla bin vu, kila kitu tunaendana
Ameninasa ka ulimbo, sitaki acha kumtazama eeh
[Verse 2]
Penzi mbona limenogaa, tamu kuzidi ata sodaa
Penzi mbona linamwagika, kama maji ya bomba
Penzi mbona limenogaa, tamu kuzidi ata sodaa
Penzi mbona linamwagika, kama maji ya bomba
[Verse 3]
Asa nataka wajue unanipenda, niite babe (Babe wanguu)
Kwa wasio amini we ni wangu niite my (My wanguu)
Hata ukinipost caption andika sweety (Sweety wanguu)
Wakija kukutongoza waambie nina mpenzi (Mpenzi wangu)
[Verse 4]
Mwombe Mungu uzimaaa, tatizo la mapenzi kanituma mimi
Nikupeee, nikupee
Iwe mabonde, milima we fly any weather, rubani ndo mimi wa upendo
Nikupee, nikupee
[Verse 5]
Mwoga wa kucheat nawee, vya uongo ndo kabisa siweez
Jua likizama, unautamani mwezi
Nakupost wajue sijiwezi, babby
Onaa
[PreChorus]
Penzi mbona limenogaa, tamu kuzidi ata sodaaa
Penzi mbona linamwagika, kama maji ya bomba
Penzi mbona limenogaa, tamu kuzidi ata sodaaa
Penzi mbona linamwagika, kama maji ya bomba
[Chorus]
Mi nataka wajue unanipenda, niite babe (Babe wanguu)
Na kama ukinipost Snapchat niite my (My wanguu)
You're my one and only, my love, sweety (Sweety wanguu)
Wakija kukutongoza wajibu we una mpenzi (Mpenzi wangu)
Written by: Harmonize, Marioo