Lyrics
[Verse 1]
Nilibisha, nilibisha
Mama aliponambia
Ukipenda jeuri kwisha
Leo nayashuhudia
[Verse 2]
Hayapiti madakika
Simu sijampigia
Yani sili kupitisha
Sauti nsipomsikia aah
[PreChorus]
Kama kupendaa
Ndo huwagaivii
Mi mwenzenu
Uchizi naugundiaa
[Chorus]
Kama kupendaa
Ndo huwaga hivii
Mi mwenzenu
Uchizi nauguliaa
[Verse 3]
Oneni onaa
Macho tukitazamana
Ubaridi homaa
Aibu tumezidiana
[Verse 4]
Poleni ona
Macho tukitazamana
Ubaridi homa
Aibu tumezidiana
[Verse 5]
Wako kijumbe fanani
Itangazie hadhira
Chuma changu kipo ndani
Nakinusuru majeraha
[Refrain]
Mie wa barabarani
Waendesha caterpillar
Hii derby ya watani
Haina kutoka bila
[PreChorus]
Kama kupendaa
Ndo huwaga hivii
Mi mwenzenu
Uchizi nauguliaa
[Chorus]
Kama kupendaa
Ndo huwaga hivii
Mi mwenzenu
Uchizi nauguliaa
[Verse 6]
Kama kupendwa
Ndo huwaga hivii
Mi mwenzenu uchizi
Nauguaa
[Chorus]
Kama kupendaa
Ndo huwaga hivii
Mi mwenzenu uchizi
Naunguliaa
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi, Siraju Amani