Lyrics

Black
Ah unaringa umepima ah utajijuu
Huu mwaka utachina si ulileta unyang'au
Hukaukwi kunitishia unaondoka unaondoka
Kama daladala za kariakoo inatoka inatoka
Hadharani unanisusia kuropoka ropoka
Kama domo lako shimo la choo yanakutoka
Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata pakuegemea
Mmh napendwa na sio kwa ninavojidekea
Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea
Oh kutendwa nakusikia kwenye bomba
Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka
Natakatishwa mpaka raha mmh mpaka
Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka
Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka
Na tena na enjoy
Napenda akinipa akinipa migandisho
Kama anapigwa shoti akisakata migandisho
Na kama penzi lake bahari kwa muda naelea
Maana nishazamaga nishakufa mzoga
Na kama penzi melody kali mi kwake ndio burudani
Wala sidhani ka'ataridhika kunikosa
Na kwa taarifa yako siwezi kuanguka maana nishapata kwa kuegemea
Mmh napendwa na sio kwa ninavojidekea
Hulka yako ya pupa mwenzako ananinyenyekea
Oh kutendwa nakusikia kwenye bomba
Na tena na enjoy mpa ka raha mmh mpaka
Natakatishwa mpa ka raha mmh mpaka
Ananipaga kutwa mara tatu mpa ka raha mmh mpaka
Naogeshwa nakandwa mpa ka raha mmh mpaka
Na tena na enjoy
Written by: Marioo, Marioo Mwanga
instagramSharePathic_arrow_out