Music Video

Marioo feat Bien - Nairobi (Visualiser)
Watch Marioo feat Bien - Nairobi (Visualiser) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
Bien
Bien
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
Bien
Bien
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kanibal
Kanibal
Producer

Lyrics

[Intro]
Uuh uuh yeeh kutokaa
Hallooo
Mmh
[Verse 1]
Nilikutana nae Kilimani Nairobi
Elfu mbili na kumi na tano
Kibaridi cha asubuhi
Kijua flani sio kikali saa tano
[Chorus]
Ooh Nairobi
Elfu mbili na kumi na tano ooh
Nikamchagua yeye
Katikati ya wenzake watano
[PreChorus]
Aah nikamuomba akaniomba namba
Moyoni mwangu nikampa moja
She's my number aah
Number aah moja
[Verse 2]
Nikamuomba akaniomba namba
Moyoni mwangu nikampa moja
Now she's my number aah
Number aah moja
[Verse 3]
Yani namaanisha kwamba
Ndio tushaoana
Tushaona
Ndio tushaoana
Ndio tushaoana
[Verse 4]
Tulipatana Bongo Mikocheni
Niko zangu beach nala upepo wa bahari
Alinipita kama meli
Anayumbayumba akidondosa kishenzi
[Verse 5]
Ooh mikocheni
Nikamfata utadhani zombie
Habari gani mbona uko lonely
Jina ni gani akasema Zari
[Refrain]
Nikamwambia aje (Ajee)
Nikamwambia kwangu ni (Kwake)
Nimshike wapi ndo (Aje)
Nataka moyo wangu uwe (Wake)
[Verse 6]
Watangojaa sana
Wakidhania tutaachana
Mi na yeye tumeshaivana
Naichapa usiku na mchana
Aiyaiyayah aah
Yani namaanisha kwamba
[Chorus]
Ndio tushaoana (Tushaona na yeye sa ni mi tu na yeye)
Tushaoana (Tushaona na yeye eeh sa ni mi tu na yeye)
Ndio tushaoana (Tushaoana, tushaoana, tushaoana ahh)
Ndio tushaoana (Tushaoana, tushaoana, tushaoana ahh)
Written by: Bien, Marioo
instagramSharePathic_arrow_out