Lyrics

[Verse 1]
Mapenzi yakianzia ten kazi kubwa ni ku maintain
Nilishatoka na demu magomeni tukaja kumwagana mikocheni
Nika repeat again and again and again and again and again
Hakuna nilicho gain zaidi ya pain (Eeh aah) sa si nkae ntulie
[Verse 2]
Nimeiweka rehani roho yangu mimi
Penzi ni mitihani kila siku mimi
They told me love is work of magic
I have been praying for something like this
Wait and waiting sana, make so many wishes
[Verse 3]
Usiku na mchana I make so many wishes
Some people told me that is not exist
Unaota ndoto za mchana vipi
Kunywa maji kwanza pumzika kwa kiti
Na uvute pumzi that love doesn't existing
[Verse 4]
Nimeenda West Africa I'm looking for love
They tell me love don't live here
I have been to South and North desper for love, napishana na wapita njia
East and Central Afrika wapi kuna love, kila nna muulizia
Across around the world seeking for the love they tell me love don't live here
[Chorus]
Niseme sina bahati ama mambo hayaja nyooka
Nnae mtaka simpati labda tatizo ni nyota
Ama usela usela, nipunguze usela
Maana mapenzi na usela nikutia chumvi kwenye pera
Usela usela nipinguze usela
Maana mapenzi na usela nikutia chumvi kwenye pera
[Verse 5]
Kutafuta pesa sishindwi kwa njia zote hustle nazijua, ila mapenzi ndo inayonizuzua
Na ikipanda kichwani inanizingua sanaa
Nakunywa pombe kali huko ndani maini inaungua
Navuta sigara nachoma kifua yote mapenzi ndio inayo nisumbua sanaa
[Chorus]
Ooh mapenzi kilio nenda waulize wenzio
Ni mdudu waskio akikung'ata husikii la yeyote
Ooh kilio nenda waulize wenzio
Ni mdudu waskio akikung'ata husikii la yeyote
[Verse 6]
Nimeenda west Africa I'm looking for love, they tell me love don't live here
I have been to South and North desper for love, napishana na wapita njia
East and Central Afrika wapi kuna love, kila nna muulizia
Across around the world seeking for the love, they tell me love don't live here
[Chorus]
Niseme sina bahati ama mambo hayaja nyooka
Nnae mtaka simpati labda tatizo ni nyota
Ama usela usela, nipunguze usela
Maana mapenzi na usela nikutia chumvi kwenye pera
Usela usela nipinguze usela
Maana mapenzi na usela nikutia chumvi kwenye pera
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi, Shariff Thabit Ramadhani
instagramSharePathic_arrow_out